EAGT Logo PHILADELPHIA CHURCH (EAGT)
Watu wakiomba pamoja kanisani Ibada na Maombi
Vijana katika ushirika wa kanisa Karibu Kanisani
Kwaya na huduma ya sifa Sifa na Kuabudu
Philadelphia Church EAGT
Karibu

PHILADELPHIA CHURCH

Tunakukaribisha nyumbani kwa ibada, maombi, sifa na Neno la Mungu.

Angalia Ratiba za Ibada
Dar es Salaam, Mbagala Kingugi
Wamama katika huduma ya kanisa Ushirika wa Wamama
Watoto wakifurahia huduma kanisani Watoto na Familia
Mafundisho ya Neno la Mungu Mafundisho
Kikundi cha huduma kikijadiliana Tunapopatikana
Ibada na sifa za pamoja Kingugi Mbagala Kingugi

Idara Zetu

Idara ya Wamama WWI

Idara ya Wamama (WWI)

Ushirika wa wamama katika maombi, mafundisho na kusaidiana kiroho na kimwili, kulea familia bora.

Idara ya Wababa

Idara ya Wababa

Ushirika wa wababa katika mafundisho, maombi na kujenga familia imara zenye msingi wa Neno la Mungu.

Idara ya Vijana CGM

Idara ya Vijana (CGM)

Kukutanisha vijana kwa ajili ya kumtumikia Mungu, kusifu, kujifunza Neno na kuendeleza vipaji vyao.

Idara ya Watoto CWI

Idara ya Watoto (CWI)

Malezi ya kiroho kwa watoto kuanzia wakiwa wadogo ili wakue katika kumjua Mungu na maadili ya Kikristo.

Idara ya Praise & Kwaya KUSKI

Praise & Kwaya (KUSKI)

Huduma ya uimbaji, sifa na kuabudu katika ibada mbalimbali za kanisa letu zote kwa nguvu ya Roho Mtakatifu.

Documentary ya Idara

Ratiba na Muda

Malengo ya Idara

Mambo ya Kuvutia

    Ratiba za Ibada

    Agenda du week-end
    Jumapili
    Ibada Kuu
    Philadelphia Church EAGT, Mbagala Kingugi
    Kila Jumapili
    Asubuhi02:30
    Mchana12:30
    Jumatatu
    Ibada ya Wamama
    WWK, maombi na mafundisho ya wanawake
    Kila Jumatatu
    Jioni10:00
    Jioni12:00
    Jumanne
    Mazoezi ya Praise
    Huduma ya sifa na kuabudu
    Kila Jumanne
    Jioni12:00
    Usiku02:00
    Jumatano
    Ibada ya Mafundisho
    Mafundisho ya Neno la Mungu
    Kila Jumatano
    Jioni10:30
    Jioni12:00
    Alhamisi
    Mazoezi ya Kwaya
    Kwaya na maandalizi ya huduma
    Kila Alhamisi
    Jioni12:00
    Usiku02:00
    Ijumaa
    Maombi na Maombezi
    Ibada ya maombi ya pamoja
    Kila Ijumaa
    Jioni10:30
    Jioni12:30
    Jumamosi
    Maandalizi ya Ibada
    Maandalizi ya ibada na huduma za Jumapili
    Kila Jumamosi
    Jioni09:00
    Usiku02:00
    Jumapili
    02:30
    Ibada Kuu
    Saa 2:30 Asubuhi - Saa 12:30 Mchana
    Jumatatu
    10:00
    Ibada ya Wamama (WWK)
    Saa 10:00 Jioni - Saa 12:00 Jioni
    Mazoezi ya Praise
    Saa 12:00 Jioni - Saa 2:00 Usiku
    Jumanne
    12:00
    Jumatano
    10:30
    Ibada ya Mafundisho
    Saa 10:30 Jioni - Saa 12:00 Jioni
    Mazoezi ya Kwaya
    Saa 12:00 Jioni - Saa 2:00 Usiku
    Alhamisi
    12:00
    Ijumaa
    10:30
    Ibada ya Maombi na Maombezi
    Saa 10:30 Jioni - Saa 12:30 Jioni
    Maandalizi ya Ibada
    Saa 9:00 Jioni - Saa 2:00 Usiku
    Jumamosi
    09:00